Jinai
TEHRAN (IQNA)- Wanaume wawili waliokuwa wametiwa hatiani kwa kukufuru, kuidhalilisha Qur’ani Tukufu, na kuutukana Uislamu, Mtume Muhammad (SAW), na matakatifu mengine ya Kiislamu wamenyongwa nchini Iran.
Habari ID: 3476980 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/09